Picha: Shoo ya Queen Darlin ya uzinduzi wa video ya Wanatetemeka Maisha Club

Juzi jumapili Mwanadada Queen Darlin alikuwa anazindua video yake ya wimbo wake uanoitwa wanatetemeka, katika uzinduzi huo ulipambwa na shughuli tofautitofauti ili kuifanya shoo hiyo ilikuwa vizuri, Kama wengi wajuavyo anapowasili Bongo Lava King Diamond Platnumz lazima umati wa watu ushangilie kwa hisia.




Katika uzinduzi huo Queen Darlin alisindikizwa na Diamond Platnumz pamoja na Sheta huku wakimba nyimbo kama Nidangaye na Kerewa.

Diamond Platnumz na Queen Darlin ni ndugu walioshare Baba, so Diamond atafanya lolote kussoprt kile anachofanya Dada yake

Chukua muda wako kuzitazama picha za show hiyo ya Queen Darlin na  Pindi Kaka wa Queen Darlin alipokuwa akiwasili














Image Crdit:Wasaficrew
Previous Post Next Post