Picha: Kutana na Bebe wa DAVIDO Aitwaye Faith Nketsi

Hit maker wa Aye, Davido ameshare picha Instagram akiwa anambusu msichana mrembo siku chache zilizopita, ambapo aliamua kuzitoa mara baada ya mashabiki wake kuanzza kumuuliza maswali kuhusiana na bebe wake uyo.




Msichan a huyuo mrembo kwa jina anaitwa  Faith Nketsi ni video queen maarufu sana South Africa ambaye ametokea kufall in love na Davido, Hit maker wa Aye na Skelewu


Tazama picha za mrembo  uyo wa Davido hapa










Previous Post Next Post

Popular Items