Picha: Jay Z akiwa na familia yake katika Vocation

Tazama picha zinzomuonyesha Jay Z akiwa na famiia yake yaani Mke wake Beyonce pamoja na mtoto wao Blue Ivvy wakifurahi na kula good time katika moja ya mapumziko yao hivi karibuni. Rapper Jay kwa sasa amekuwa akitumia muda wake mwingi wa kupumzika kuwa na familia yake kama jinsi picha hapa chini zinavyoonyesha.










Previous Post Next Post

Popular Items