Picha: Hivi ndivyo Rihanna alivyojiunga na mamilioni ya watu duniani kusherehekea siku maalum ya bangi

Mwanadada Rihanna hajawahi kuficha mapenzi yake kwa mmea wa bangi na hivyo halikuwa jambo gumu kujiunga na mamilioni ya wavutaji wengine duniani kwenye siku maalum ya bangi April 20. Siku hiyo kila mwaka imetengwa na wavutaji wa bangi kuonesha mapenzi yao kwa mmea huo.
Tazama baadhi ya picha za Rihanna akiutukuza mjani kwa njia mbalimbali.



Tazama picha zaidi hapa chini..







Previous Post Next Post