Picha: Harusi ya Mtoto wa Rais wa Nigeria ilivyofana

Pongezi nyigni kwa Faith pamoja na Godswil kwa kuamua kufunga pingu za maisha, Mtoto wa rais wa Nigeria Goodluck Jonathan.ameolewa na Godswil Osim Edward katika ndoa iliyofungwa katika mji wa Abuja Ecumenical Center.



Harusi hiyo ilikuwa ikirua hewani live kupitia NTA wakti viongozi wengi walihudhuria sherehe hiyo ambayo kila mgeni mualikwa alipewa simu aina ya iPhone ya Gold.

Mtoto wa Rais na Mumewe walikutanakipindi wakiwa chuo kikuu cha Calabar na walikuwa pamoja tangu walipoanza kufahamiana iliyowapelekea wawili hao kufunga pinguza maisha


Tazama picha za Harusi hiyo ziko hapa chini















Previous Post Next Post