Picha: Aangua kilio akitaka kupiga picha na Diamond Platnumz Maisha Club Dar

Ni jambo la kawaida kuwatokea watu maarufu hasa wale wenye mvuto mkubwa kwa jamii kama vile wanamuziki, wacheza filamu au wanamichezo kukutana na mashabiki wenye mapenzi makubwa nao.



Tukio lililotekea usiku wa Aprili 06 ndani ya Club Billicanas wakati wa uzinduzi wa video ya Quuen Darleen ”WANATETEMEKA’ kuhusu shabiki aliyediriki kumwaga machozi akitaka amuone Rais wa watu wasafi, mwanamuziki Diamond Platnumz na kuomba kupiga nae picha .











Diamond naye hakusita kuandika yake ya myoni kupitia Blog yake ya wasafi crew soma hapa!

Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA kwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu kijana aliyeangua kilio akishinikiza anionena kupiga picha,ni tukio ambalo limenionesha ni kiasi gani ninawatu out there walio upande wangu,watu wanaonipenda kwa dhat kabisa.nikiwa backstage kulikokuwa kumejaa kidogo,alijitokeza kijana huyu ambae bahat mbaya sikuweza kumwona mapema..

Mpaka niliposkia akilia,alikuwa akishinikiza apewe nafasi ya kuniona na kupiga picha,but kulingana na utaratibu wa kiusalama mlinzi alimzuia na ndipo alipoanza kulia mfululizo..na hata alipopata nafasi tukaonana na kupiga picha ni kama nilimwongeza spiidi ya kuendelea kuliampka mda wangu wa kupanda stejini ulipofika..nilipomaliza show na kurudi garini tayari kwa kuondoka alinifata akiwa na ombi lile lile,kupiga
picha nilishuka nikazungumza nae kisha tukapiga picha na kuagana ....!!


Akamalizia kwa kusema...!

NAWAPENDA SANA MASHABIKI WANGU


Previous Post Next Post

Popular Items