Je wewe ni msichana mrembo na unahisi na kuamin kuwa unaweza kuwa video queen, hii inakuhusu n kutoka kwa Mr Blue. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mr Blue alitoa tangazao hili kwa wakina Dada warembo wote
Mr Blue ambaye hivi sasa headline zake zinatokana na wimbo wa Pesa ambao hadi umempa nomination kwenye tuzo za kili mwaka huu.
Mr Blue ametoa tangazo hili kupitia ukurasa wake wa instagram kwenda kwa wasichana ambao wanaoweza kushirikiana naye kwenye kazi yake hii.