Video: Ommy Dimpoz , Diamond Platnumz wakiwa Studio na Victoria Kimani wakirekodi nyimbo yao ya Pamoja

Ommy Dimpoz amepost vipande hivi vya video vinavoonyesha akiwa yuko studi na Victoria Kimani pamoja naDiamond Platnumz wakifanya Nyimbo yao ya pamoja, kupitia vipande hivi vya video alivyovishare Ommy Dimpoz utaweza kujua nini kinafuta kati ya watatu hawa waliongia Studio kufanya collabo moja na mwanadada mrembo kutoka kkenya Victoria Kimani



Tazama hapa chini nini walichokuwa wanakifanya studio na kinachofuata katika collabo yao..!





Previous Post Next Post

Popular Items