Tunataka kuzaa mtoto "Diva afunguka"

Mtangazaji wa mweney sauti nyororo na anayetangaza katika Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness Love aka ‘Diva’ ameweka wazi juu ya uhusiano wake na King Crazy GK, na Prezzo huku akidai hakuwahi kufanya mapenzi na Prezzo.





Diva alikuwa akihojiwa na mtandao wa Makorokocho.

Swali : Je ni kweli Unatoka na GK?
Diva : ofcoz doe …. Gk is my Angel, My Husband, My Forever Favorite Man. My sugar My sweetie…My heart .. my better and half, My life….My Boifriend..i call him dat, My Boyfriend.
Swali : Unampenda Crazy GK?
Diva: with all my heart …like never before…… never knew kama kuna Penzi kama hili before. holding it so close..dearly.

Swali : Kabla ya kuwa na GK ulikua na nani?
Diva : Gosh ..but well ermmm …… dated this Politician kwa muda mrefu sana, miaka nearly 4 years … he was the only one., don’t wanna put his name on Public tho….until i met My King..

Swali : Kwanini Mliaachana na huyo Mwanasiasa?
Diva : misunderstanding zilizidi, i don’t really wanna talk about it My focus is My king now….My baby, My lover ..My Gk.

Swali : Uliwahi kuwa katika mahusiano na Brother from 254 Kenya Prezoo, mahusiano yenu yaliishia vipi?
Diva : Prezoo na mimi tulikutana wakati ana interview, so baada ya hapo tukawa tuna chat kwa simu, sikupenda alivyofanya interview kwenye XXL ya Clouds fm You heard…akasema eti anataka kunioa, nilikasirika sana nakumbuka nilimuuliza akajibu eti ameongelea feeling zake, lakini tuliishia kuwa na long distance relationship, aliingia kwenye moyo wangu kwasababu nilikua nimegombana na boy friend wangu mwanasiasa, lakini badae nikaona niachane na Prezoo, ila hatujawahi kufanya any sex . we touched, we kissed, we had our love story and ikaisha, to me dats normal, …. hakukuwa na mahusiano ya mahitaji ya kimwili baina yetu, sikuwa ready for dat… it was just a fling. ila Prezzo such a nice guy. No regrets, gladly i met him in real life, and we good tunaongea tunawasiliana, sio ugomvi kuachana. i still love his music, such a fan of him.

Swali: Mara ya kwanza kukutana Na GK na ilikuaje?
Diva : Well Mara ya kwanza kukutana na Gk ilikua ni mwaka 2013, siku ambayo GK alikuja kwenye kipindi changu kwa ajili ya Interview, kabla ya hapo nilikua namwona kwenye Music Videos only but hakunivutia at the first place, i was happy met The Music Mesiah tho. music veteran, gladly met the Legendary,The King.
Swali : Ulijiskiaje baada ya kumwona?
Diva : Nilifurahi, tulisalimiana, kama navyokutana na wasanii wengine, alikua anaonekana kama nilivyokua namwona kwenye TV, na yeye anakaniambia Jinsi anavyoniona ni tofauti na nilivyokua anafikiria, alidhani mimi ni mdada mtu mzima, na alifikiria mimi ni msichana mwenye kuringa sanaaa, na Sister Du Sanaaa, baadae aliniambia eti siku hiyo hiyo ya kwanza akanipenda (Love at First Sight lol)
Swali : Interview Uliionaje?
Nilikua na mhoji Legendary, ni kama Kufanya Interview na Jay Z, na baada ya mahojiano hayo nilipata my credits as usual. it was BOOM..Kick ass show.
Swali : Ulimuuliza maswali juu ya mahusiano yake yaliyopita?
Diva : Ndio nilimuuliza Una Girlfriend? Akajibu ninae, nikamuuliza ndo huyo mzungu ninaemskia? Akanijibu umejuaje? Then akasema kweli ana girlfriend Mzungu na vingine nini nini ……………..
Swali : baada ya Siku hiyo mawasiliano yenu yalikuaje?
Diva : tulikua tuna chat kama watanzania wa kawaida, Good morning My Diva. how are you…hizo yaan…ila kuna siku nilienda kula kwa Aunt yangu Upanga, kwenye Chatting nikamwambia nipo Upanga akaniuliza upo maeneo gani, nikamjibu akaja na baadae nikatembelea Kwao the same day we Kissed lakini, it was a good kiss, a kiss to remember… btw i needed dat kiss..when he kissed me man…. it was like magic. kwasababu nilikua na Boy friend mtu mzima kidogo, just experienced the difference with the finest… hehee…
Swali : Crazy GK Aliwezaje kuzibamba hisia zako?
Diva : Aliniletea Vannila Ice cream ,gosh i so love Vanilla Ice cream, My favorite you know…(cinderela life Story) that means kuna vitu mimi napenda ambavyo wanaume wengi hawawezi kufikiria, wanaume wengi wakinifata wanahisi napenda vitu expensive lakini mimi napenda vitu vya watoto, I need a man ambae atani treat kama mtoto, even on valentines..had valentines to remember. dats my baby.
Swali : Chemistry yenu iko vp, mnaiva sana ama?
Diva : He is nice and we connect….. enjoying the moment with My Special Man, My king, My Gk

Swali: Any Future Plans?

Diva : Mipango ni kuwa na furaha zaidi maishani, I love him, we love each Other, we just wanna be happy and yes tunataka kuzaa mtoto… coz i need kuwa na mtoto this 2014 yaani. we agreed tutamuita Hailey Presley Montana Kaihula. a baby boy pliz lol, thanks

Previous Post Next Post