Amin usiamin kuna watu wanaoenda kwa wazee wao kupata baraka za mikono, lakini Q-Chilla ameamua kuwatafuta wanamuziki wakongwe nchini, King Kikii na Kasonga Mpinda ili wampe baraka zao zitakazomuongoza wakati huu ambapo amejipanga kurejea kwa kishindo kwenye chart.
Pokea baraka zetu kijana: King Kikii na Kasongo Mpinda wakimwekea mkono kichwani Q-Chief kama ishara ya kumpa baraka