Picha: Picha kali Instagram Diamond Platnumz na Wema Sepetu 'Mahaba Niue Kipara_ninyonge' jus love you Naseeb wangu

Mapenzi ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu yamepamba moto huku kila mmoja akipost picha tofauti na kuelezea hisia zake kupitia picha hizo, Diamond bila kuficha hisia zake aliweka picha na kuandika maneno haya"So someone decided to go Bald...Lol! 😁...what can i say, i love her either way... #Mahaba_niue#Kipara_ninyonge" wakati huo huo Wema Sepetu naye alipost picha yake alipiga na Diamond Platnumz kimahaba zaidi na manaeno haya yalifuata "I jus love you Naseeb wangu..." Its real love out there kwa hawa celebrity ambayo fans wengi wamekuwa wakitoa maoni yao uku kila mmoja akifuraishwa na wawili hawa kurudiana tena.


Wema Sepetu na Diamond Platnumz ni moja kati ya mastaa wenye couple yenye kuongelewa zaidi na mashabiki ni ama ile ya "Kim Kardashian na Kanye West"  na mastaa wengine kibao wenye couple ya namna hii.

Swali kwa  wasomaji wetu je   Mnaweza kuwafananisha Diamond Platnumz na Wema Sepetu na mastaa gani Duniani wenye mahusiano kama haya?



Previous Post Next Post

Popular Items