Picha: Jux kuachia wimbo mpya " Nitasubiri"

Yule hiti maker wa Uzuri wako Jux Vutton, ameshare picha kupitia mtandao wa instagram inayoashiria yu mbioni kuachia nyimbo mpya.

Kwa wale mashabiki wa jux Vutton kaeni mkao wa kula kwani Nitasubiri ndicho kitu kinachofuata kutoka kwa Jux

Picha aliyoshare jux kupitia mtandao wa Instagram..!





Jux Ameshare picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya "Two days to go #nitasubiri"

Previous Post Next Post