TIMU ya Yanga jana iliibugiza Ruvu Shooting magoli 7-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam ambapo karibu muda wote Yanga ilikuwa ikishangilia mabao.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi.
Mshambuliaji wa Yanga Didier Kavumbagu akishangilia goli la pili.
Okwi (kushoto) na Hamis Kiiza wakishangilia bao.
Okwi na Simon Msuva katika chereko.
Mshambuliaji wa Yanga Didier Kavumbagu akishangilia goli la pili.
Okwi (kushoto) na Hamis Kiiza wakishangilia bao.
Okwi na Simon Msuva katika chereko.
Msuva akishangilia bao lake la pili.
Tags:
Sports