Picha: Behind The Scene ya video ya One Campaign waliyomo Diamond Platnumz, Femi Kuti, D’Banj AY na Wasanii wengine

Baada ya Kufanya audio ya wimbo unaoshilikisha wasanii zaidi ya 20 wa Afrika , Sasa wako katika hatua za kushoot video ya wimbo huo, video imefanyika jana jijini Johannesburg, Afrika Kusini, kwenye studio za M1 zinazomilikiwa na shirika la SABC. Katika wimbo huo ambao unasimamiwa na One Campaign kupitia mradi wake mpya wa ‘Go Agric’, Kwa upande wa  Tanzania inawakilishwa na AY na Diamond.


 Victoria Kimani akiwa kwenye scene yake





 Diamond akiwa na Victoria Kimani


Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA