Picha: Behind The Scene wimbo mpya wa Bonge la Nyau na Ali Kiba ' Uaminifu'

Ali Kiba pamoja na Bonge la Nyau wakiwa kwenye utengenezaji wa video mpya ya wimbo wao walioimba kwa pamoja unaitwa UAMINIFU ukiwa ni wimbo wa Bonge la Nyau akimshirikisha Ali Kiba. Video imetengenezwa na kampuni ya KWETU STUDIO.











Previous Post Next Post