Wanawake wengi waliomo katika eneo hili ni ama hawajaolewa au wametalikiwa. Pamoja na hao, pia kuna kundi jingine ambalo ni la wanawake waliokubali kuolewa uke wenza wakiwa wake wa pili kwenye ndoa zao.
LICHA ya kuwa na warembo wa kutosha, Nollywood, inaelezwa kuwa ni eneo lisilokuwa na wanawake wengi walio kwenye ndoa.

Mtandao wa Vanguard umefanya mahojiano na waigizaji wa Nollywood walio katika ndoa za uke wenza wengi wao wakiwa ni wake wa pili na kutaka kujua ni kwanini hasa waliamua kuingia kwenye uhusiano huo.
Wengi wao walioingia kwenye aina hiyo ya ndoa wameonja joto ya jiwe kwani siku zote maisha yao yamekuwa katika mapambano na wenye waume zao. Pia wapo waliokuwa na bahati wanaoishi maisha ya raha mustarehe.
Wafuatao ni miongoni wa wanawake walioolewa na waume wa wenzao.
Caroline Ekanem-Danjuma
Stori ya mwigizaji huyu mwenye mvuto kutoka Nollywoodv ipo wazi. Alikuwa miongoni mwa mastaa waliokuwa wakivutia zaidi waonekanapo kwenye runinga. Ni mke wa pili wa bilionea Musa Danjuma.
Baada ya kuingia kwenye ndoa hiyo, mwigizaji huyo aliyeachana na uigizaji ili kuijenga ndoa yake, amekuwa akiishi maisha ya raha zaidi.
Hata hivyo wajuzi wa mambo wamekuwa na shaka juu ya ndoa ya msanii huyu hasa pale alipoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook akisema “Chaguo la pili si kazi rahisi”.
Liz Dasilva
Staa huyu aliolewa na mfanyabiashara, Philip Ehiagwina,mwaka 2009. Jamaa huyo maskani yake ni Texas, Marekani.
Tangu alipoingia kwenye uhusiano huo, ndoa yao imekuwa kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari kila uchao. Si kwa kuwa habari za Edo zinawavutia sana wasomaji, bali kwa sababu Edo amepora mume wa mtu.
Ehiagwina ni mume halali wa mwigizaji na mwanamitindo, Ruth Okoro. Hata hivyo, Ruth aliamua kuondoka na kumwachia Ini Edo mume.
Bose Arowosegbe
Kama ulikuwa ukijiuliza kwa nini waigizaji wa Nollywood wanapenda kuolewa na waume za watu, wala huna haja ya kuendelea kujiuliza. Ni kwa sababu mwigizaji, Bose Arowosegbe, amefunguka na kuweka hadharani sababu inayowasababisha wafanye hivyo.
Anasema wanaume wasiowahi kuoa huwa na utoto mwingi pia wengi wao ni maskini. Kwa hali hiyo inakuwa ni vigumu kuweza kwenda sawa na hadhi ya wanawake waigizaji kama wao.
Mercy Johnson
Licha ya mwanamke huyo kutamka hadharani kuwa Mercy amemwibia mume, mwigizaji huyo alikaza uzi na kuhimiza ndoa na muda mfupi baadaye aliolewa na sasa anafurahia ndoa yake na bwana Okojie.
LICHA ya kuwa na warembo wa kutosha, Nollywood, inaelezwa kuwa ni eneo lisilokuwa na wanawake wengi walio kwenye ndoa.
Wanawake wengi waliomo katika eneo hili ni ama hawajaolewa au wametalikiwa. Pamoja na hao, pia kuna kundi jingine ambalo ni la wanawake waliokubali kuolewa uke wenza wakiwa wake wa pili kwenye ndoa zao.
Mtandao wa Vanguard umefanya mahojiano na waigizaji wa Nollywood walio katika ndoa za uke wenza wengi wao wakiwa ni wake wa pili na kutaka kujua ni kwanini hasa waliamua kuingia kwenye uhusiano huo.
Wengi wao walioingia kwenye aina hiyo ya ndoa wameonja joto ya jiwe kwani siku zote maisha yao yamekuwa katika mapambano na wenye waume zao. Pia wapo waliokuwa na bahati wanaoishi maisha ya raha mustarehe.
Wafuatao ni miongoni wa wanawake walioolewa na waume wa wenzao.
Stori ya mwigizaji huyu mwenye mvuto kutoka Nollywoodv ipo wazi. Alikuwa miongoni mwa mastaa waliokuwa wakivutia zaidi waonekanapo kwenye runinga. Ni mke wa pili wa bilionea Musa Danjuma.
Baada ya kuingia kwenye ndoa hiyo, mwigizaji huyo aliyeachana na uigizaji ili kuijenga ndoa yake, amekuwa akiishi maisha ya raha zaidi.
Hata hivyo wajuzi wa mambo wamekuwa na shaka juu ya ndoa ya msanii huyu hasa pale alipoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook akisema “Chaguo la pili si kazi rahisi”.
Naye ni miongoni mwa mastaa wa Nollywood waliokomaa na waume za watu. Tofauti na wenzake, Mercy Aigbe, ameingia kwenye ndoa ya mwigizaji mwenzake, Lanre Gentry, na hivyo kuwa mke halali wa Bimbo Akinsanya.
Ini EdoTangu alipoingia kwenye uhusiano huo, ndoa yao imekuwa kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari kila uchao. Si kwa kuwa habari za Edo zinawavutia sana wasomaji, bali kwa sababu Edo amepora mume wa mtu.
Ehiagwina ni mume halali wa mwigizaji na mwanamitindo, Ruth Okoro. Hata hivyo, Ruth aliamua kuondoka na kumwachia Ini Edo mume.
Kama ulikuwa ukijiuliza kwa nini waigizaji wa Nollywood wanapenda kuolewa na waume za watu, wala huna haja ya kuendelea kujiuliza. Ni kwa sababu mwigizaji, Bose Arowosegbe, amefunguka na kuweka hadharani sababu inayowasababisha wafanye hivyo.
Anasema wanaume wasiowahi kuoa huwa na utoto mwingi pia wengi wao ni maskini. Kwa hali hiyo inakuwa ni vigumu kuweza kwenda sawa na hadhi ya wanawake waigizaji kama wao.
“Nimeamua kuolewa na mume wa mtu kwa kuwa ana uwezo wa kuwa na mimi kwa kila hali,” anasema.
Mwigizaji mwenye mafanikio makubwa Nollywood. Anajulikana kwa kazi zake nzuri anazofanya. Upande wa pili wa mwigizaji huyo ni tofauti kabisa. Ameolewa na mume wa mtu tena mwenye watoto watatu; wawili wa kiume na mmoja wa kike.
Mercy Ozioma Johnson ni mke wa Prince Odianosen Okojie ambaye ni mume wa mwanamke mmoja raia wa Canada.
Mercy Ozioma Johnson ni mke wa Prince Odianosen Okojie ambaye ni mume wa mwanamke mmoja raia wa Canada.
Licha ya mwanamke huyo kutamka hadharani kuwa Mercy amemwibia mume, mwigizaji huyo alikaza uzi na kuhimiza ndoa na muda mfupi baadaye aliolewa na sasa anafurahia ndoa yake na bwana Okojie.
Tags:
celebrity News