Video: Grammy Awards Jay Z na Beyonce wafanya Crazy and Lovely Performance

Chukua muda wako wa kutazama Shoo waliyopiga Baba na Mama Blue ivvy katika utoaji wa tuzo za Grammy uiofanyika jana tarehe 26/1/2014 katika jiji la Los Angels, it was craizy and lovely performance kwa kila mtu aliyeitaza akuacha kutoa comment zao juu ya wapendwa hawa waili kufanya kitu kizuri machoni mwa wageni waalikwa waliofika kkatika tuzo hizo.



Tazama video hii hapa chini kwa ushahidi wa macho yako...






Previous Post Next Post

Popular Items