Video: Filamu kuhusu Biblia kutikisa Hollywood mwaka 2014, zipo Son of God, Noah na Exodus

Filamu zinazohusu biblia zinatarajia kuiteka Hollywood mwaka 2014. Filamu ya kwanza itakayotoka mwakani ni “Son of God.” Filamu hiyo kuhusu Yesu inatarajiwa February 28, 2014.


Tazama Trailer vya Movie Hizo Hapa Chini



Filamu nyingine ni ‘Noah’ iliyochezwa na Russell Crowe, Anthony Hopkins na Emma Watson, ikielezea hadithi ya Nuhu, gharika na Safina.


Previous Post Next Post