Toni Braxton anunua nyumba ya dola milioni 3, karibu na mjengo wa Justin Bieber And Kourtney Kardashian

Toni Braxton amenunua mjengo wenye thamani ya dola milioni 3 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni nne, ikiwa ni takribani miezi 6 toka akumbane na matatizo ya kuyumba kiuchumi kwa muda mrefu.

Picha chini Mjengo mpya waTon Braxton ulioko karibu na nyumba ya Justin Bieber And Kourtney Kardashian

 Mjengo wa Toni Braxton

Nyumba mpya ya Braxton yenye vyumba 4, mabafu 4 ina ukubwa wa 5,323 sq. ft na ndio nyumba ndogo katika eneo ambalo ni karibu na ilipo nyumba ya Justin Bieber.
Mjengo wa Toni Braxton
Nyumba mpya ya Braxton yenye vyumba 4, mabafu 4 ina ukubwa wa 5,323 sq. ft na ndio nyumba ndogo katika eneo ambalo ni karibu na ilipo nyumba ya Justin Bieber.
Previous Post Next Post

Popular Items