Picha: Huyu ndiye Msanii kutoka Cameroon aliyeafananishwa na Nicki Minaj kwenye tuzo za Grammy

Kweli duniani wawiliwawili katika tuzo za Grammy zilizofanyika juzi Nchini marekani, Msanii wa muziki wa kutoka Cameroon aitwaye Dencia, Jumapili iliyopita alifanya watu waliofika katika tukio la tuzo za 56 za Grammy wamchanganye na rapper wa Young money Nicki Minaj kutokana na muonekano wake na mavazi.


Dencia
Kutokana na kuwachanganya wengi katika Red Carpet, Entertainment Weekly waliamua kupost picha ya Dencia na kutoa tangazo kupitia twitter kuwajulisha watu kuwa huyo sio Minaj. ’ A #GRAMMYs public service announcement: This is NOT Nicki Minaj’ na Dencia ali Retweet na kusisitiza yeye sio Nicki Minaj.

Previous Post Next Post