Picha: Beyonce na Mtoto wake Blue Ivy watinga Ikulu Kusheherekea Birthday ya Michelle Obama

Imekuwa bahati kubwa kwa mtoto Blue Ivy Carter kutembelea Ikulu ya white house,kwa sababu ndio kwanza ametimiza miaka miwili na tayari amekwisha ikanyaga ikulu ya marekani akiwa na mama yake Beyonce


Nafasi hii aliyoipata Blue Ivy ya kuingia ikuluni nafasi adimu sana kwa watu wengi kuingia ikulu hiyo ya white house kwani ni wengi wanatamani kuingia white house lakini inashindikana na wengine mpaka kifo kinawakumba wakiwa na hamu ya kukanyaga White House Hiyo 

Katika weekend hii iliyopita, Beyonce alialikwa kuimba katika birthday ya 50 ya mke wa rais wa marekani Michelle Obama katka mji wa WashIngton D.C. Ili kuwajulisha mashabiki wake nini kinaendelea Beyonce alishare picha hizi..











Previous Post Next Post

Popular Items