New Music: Stamina - Mpaenzi

Chukua muda wako wa dakika kadhaa kuweza kuusikiliza wimbo mpya uliofanywa na mkali wa Hip hop Stamina , mwenye flow za kutosha na anayefanya vizuri katika gemu ya muziki wa Bongo,Wimbo unaitwa 'Mapenzi' sikiliza na download hapa chini



Previous Post Next Post