Kisa Kizima Cha Break-Up ya Prezzo na Mchumba wake wa Kibongo 'Chagga Baby"

Baada ya Prezzo kuachana na Huddah Monroe ni watu wengi walifurahia kwasababu it wasnt the right couple hasa kwa upande wa Prezzo ukizingatia kashfa na umapepe wa Hudah. Hapo ndipo Prezzo alipojipatia mrembo wa kichaga , Starlisha Tillya a.k.a Chagga Barbie na kusema hivi “Funny how sme past dnt wanna be tense……welcome 2 my future ” yaani Chaga Barbie japokua ex-girlfriend wake hakuipokea hili swala kwa uzuri.






Lakini Hivi karibuni mambo yakawa si mambo na Prezzo aliamua kuweka picha ya Goldie na kusema ana mmiss sana na pia akaweka ya Halle Berry na kumsifia uzuri wake na matiti yake ndipo hapo Chaga Girl alipofikiri kwamba anapodwa yeye na kukasirika na kuanua kutupia picha ya mwanaume yupo uchi akiwa na umbile dogo la kiume (kibamia) na kusema yeye atleast anaweza kufanya plastic Surgery.

Chaga Barbie akapost picha ya prezzo na kumponda eti anashangaa inakuaje anakua na uhusiano na kibabu.”Y nime post baadhi ya chat ni kwasababu umeanza kwa kushare kwa dada zako sasa ntarusha voice note watu wakusikie live ulivyokuwa stupid mwanaume tumamu ha act Kama K*ma kaa wewe, eti hapa ulikuwaukijibabishaaaaa lol unajua hapa nilipokuangalia ndipo nilianza kustuka nikasema huyu babu mwenye rangi za blonde kaa mie nafanya nae nini?’”



Baadae aliamua kuamia kwenye muziki na kufichua messagge wazizokua wanachat nae ambapo prezzo alikua akimponda diamond eti kaenda Nigeria kufanya video na Davido alafu akampa dola 3000 bila davido ku-acknowledge mchango wake.”Unatengeneza ma video yasiyonakiwango Kutwa kumponda Diamond Mara ngapi nimemtetea huyu kinara wa East Africa usie mkubali wewe unamuita mwenzio sijui Mwajuma wewe na yeye Nani Mwajuma kaa sio wewe Natafuta namna yakuweka ur voice notes watu wakusikilize kibuyu wewe @anithakajumbula ndio kaniomba nijifanye mjinga ni cool off nikuambie yaishe k**ma wewe unaevaaa boxer’



Mtot wa Kichaga aliendelea kwa kupost hii hapa


Muda si muda dada wa prezzo Kay Kivila aliamua kujibu mashambulizi baada ya kuona kaka yake anazidiwa nguvu na kuamua kupost picha ya chaga girl akifanya surgery ya kupunguza tumbo na kuandika haya “Mtu anaweza akawa haongei lakin ndugu zake hawawezi kukubali………… nimeshakatazwa lakin leo sina moyo wa subira ingawa juzi niliuliza kama watu mnasamehe……. Hapo enzi ni baby yake prezzo katoka kufanyiwa operation ya kutoa tumbo, ulizeni hizo hela za shughuli alitoa nan sasa,,, anaeitwa SERENGET BOY ndo alizitoa.”


Previous Post Next Post