ZILLAX NI MIXTAPE MPYA YA GODZILLA ATAKAYOIACHIA SIKU YA KUZALIWA KWAKE JAN 5

Kama Kweli Unasupport Harakati wanazofanya Wanamuziki wa Bongo-Tanzania kama King Zilla, Zizi  au vyovyote unavyopenda kumuita huu ni muda wako wa kupewa zawadi yao January 5 mwaka. Golden Jacob aka Godzilla anatajia kukinusha mtaani wiki chache tu zijazo kwa kuachia mixtape yake mpya aliyoipa jina ‘Zillax’.


 Zillax itatolewa kwenye maganda yake katika siku hiyo spesho kwa rapper huyo, kwani ndo siku aliyozaliwa.Ikiwa na nyimbo 17, Zillax itakuwa yako halali kwa ‘buku 5 tu’.

Previous Post Next Post