SHUGHULI YA MAZISHI YA MZEE NELSON MANDELA HIVI SASA KIJIJINI QUNU

Umati Mkubwa wa awatu ukionekana katika picha hapo chini ni katika shughuli za mazishi zinazoendela Uko South Afrika katika kijiji alichozaliwa mwasisisi wa Nchi Hiyo Baba Wa South Afrika Hayati Nelson Mandela, Leo ndio Hitimisho la Mwisho Mandela.


Rais Kikwete ni mmoja kati ya viongozi wanaoshiriki mazishi ya  marehemu Nelson Mandela yanayoendelea hivi sasa katika kijijini Qunu
Previous Post Next Post