Picha: Senga Apagawa na Shepu ya Agness Masogange

Mwigizaji mkongwe nchini Ulimboka Mwakilasa al-maarufu kama “Senga” alishindwa amenaswa laivu na kamera ya mdau mmoja akishangaa laivu mzigo (wowowo) la mwanadada Agness Masogange wakati wakishoot filamu mpya ya mwanadada Nisha ambayo mwigizaji huyo ameshirikishwa. Tazama picha.









Source:BongoMovie
Previous Post Next Post