PICHA: RED CARPET YA TUZO ZA CHANNEL O MUSIC AWARDS 2013 NA LIST YA WASHINDI











Mtanzania pekee alieiwakilisha nchi ni Ay ambae mwaka jana alishinda tuzo moja ila kwa mwaka huu hakubahatika kushinda kwenye vipengele vyote viwili alivyokua anagombea tuzo.



Dullah Spartan kutoka Tanzania ni miongoni mwa waliojitokeza kumpa support Ay.





Vanessa Mdee na binamu.



Kwenye red carpert kwa pembeni kulikua na makochi, watu walikaa kusubiria kuingia kwenye sehemu tuzo zinakotolewa.

Victoria Kimani kwenye interview na Super Sport.

Ice Prince kwenye interview.



Mkali kutoka Mafikizolo.

Navio wa Uganda kwenye interview.








D Black kutoka Ghana.




Ay, Ommy Dimpoz na Frasha wa P unit baada ya tuzo kumalizika.

Salam, Mwana FA, Frasha na Gabu.

P Unit ambao walishinda tuzo mbili kwenye Channel O music video Awards 2013 (Most Gifted Ragga/Dancehall Video na Most Gifted African (East) Video ) walijumuika pamoja na kina Ay, Fa, Salama Jabir, Vanessa Mdee, Sauti Soul na Watanzania wengine pamoja na Wakenya ambao walijitokeza kuwasupport watu wao.





Dullah, FA, Jokate, b12 na Ommy Dimpoz, hii ilikua baada ya utoaji tuzo kumailizika…

P Unit wakihojiwa baada ya kushinda tuzo mbili.

Jokate.

Mwana FA na Mubenga kwenye good time





Millard ayo na Donald, mwimbaji kutoka Afrika Kusini.






Kwa mbali kidogo ndio ukumbi zilikotolewa tuzo.




Washindi wengine ni hawa kwenye maandishi mekundu ….. Most Gifted Duo/Group Featuring Video
Tear gas – Wake Up
Xtatic/Aka & Priddy Ugly – Hit Em Up
Mi Casa – Can’t Get Enough
EME – Baddest Boy
Naeto C ft D’Banj – Tony Montana (Bad Pass) Remix
Zone Fam – Contolola
Most Gifted Newcomer Video
Moneoa – Is’bhanxa
Lola Rae – Watch My Ting Go
Khaya Mthethwa – Move
Victoria Kimani – Mtoto
Burna Boy – Tonight
Most Gifted Female Video
Zonke – Feelings
Lizha James ft Anselmo Ralph – Vais Rochar
STL – Stella Stella Stella
Tiwa Savage ft Don Jazzy – Without My Heart
Toya Delazy – Heart
Most Gifted Male Video
Donald – Over The Moon
Zeus ft AKA & TUMI – #DatsWasup
Wizkid – Azonto
AY/Marco Chali – Party Zone
Iyanya – Flavour

Most Gifted Ragga/Dancehall Video
Buffalo Souljah – Basawine
Kaakie – Too Much
Jesse Jagz – Murder Dem
P-Unit ft Collo – You Guy (Dat Dendai)
Radio and Weasel – Can’t Let You Go
Most Gifted Hip Hop Video
AKA – Jealousy
Jayso & Sarkodie – Pizza & Burger
Reason – Do It Like I Can
Ifani ft Blaksuga – Chocolate Vanilla
EL/M.anifest – Hallelujah
Most Gifted R&B Video
Banky W – Yes/No
Anselmo Ralph – Curticao
Danny K – Brown Eyes
Chase – Lonely
Victoria Kimani/M.I – Oya
Most Gifted Afro Pop Video
The Soil ft Zakwe – Inkomo
Sauti Sol – Money Lover
2Face Idibia – Ihe Ne Me
The Muffinz – Umsebenzi Wendoda
Davido – Gobe
Most Gifted Dance Video
KCEE – Limpopo
Mafikizolo – Khona
Fuse ODG ft Wyclef Jean – Antenna (Remix)
DJ Malvado ft Petty – Jamaica
DJ Ganyani FT FB – Xigubu
Most Gifted Kwaito Video
L’vovo Derrango ft Professor – Palesa
Professor ft Oskido & Character – Finger Prints
EES – Woza December
Kabelo – Impilo
DJ Tira ft Big Nuz & Joocy – Summer Time
Most Gifted African (West) Video
D’Prince – Goody Bag
Ice Prince – Aboki
R2Bees – Life (Walaahi)
Dblack ft Joey – Vera
Chidinma ft Illbliss & Suspect – Emi Ni Ballar
P-Square – Alingo
Most Gifted African (East) Video
AY/Marco Chali – Party Zone
P-Unit ft Collo: You Guy (Dat Dendai)
Radio & Weasel – Can’t Let You Go
Sauti Sol – Money Lover
Navio – Kata
Most Gifted African (South) Video
Dama Do Bling – My Eish
Oskido – Tsa Mandebele
Black Coffee ft Zakes – Take it All Off
Paul G ft Fabulous – Get Control
DJ Dimplez ft L-Tido & ANATii – We Ain’t Leaving
Khuli Chana – Hazzadazmove
Most Gifted Video of the Year
AKA – Jealousy
Mafikizolo – Khona
STL – Stella, Stella, Stella
P Square – Alingo
Fuse ODG FT Wyclef Jean – Antenna
Xtatic/AKA & Priddy Ugly – Hit ‘Em Up
Zeus FT AKA & Tumi – #DatsWasup
Wizkid – Azonto
Paul G FT Fabulous – Get Control
Reason – Do It Like I Can
R2Bees – Life (Walaahi)
Ice Prince (Aboki)
Image Credit via: Milardayo.com 

Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa