Picha: Fashion show ya Red Ribbon ‘2013’ ilivyofana Mlimani City Dar es salaam - Tz

Fashion show ya Red Ribbon inayofanyika kila mwaka katika siku ya Ukimwi duniani, December 1usiku wa jana imefanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Mbunifu wa mavazi na mwandaaji wa Red Ribbon Khadija Mwanamboka akiongea katika usiku wa Red Ribbon


Red Ribbon huwakutanishwa wadau mbalimbali wa fashion nchini kwa kuonyesha mavazi yao pamoja na ukusanyaji wa pesa kwaajili ya kuwasaidia watoto wenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi ili kuwaboreshea maisha yao na kuhakikisha wanaishi katika mazingira mazuri.





























Picha zaidi Bofya Hapa
Previous Post Next Post