Raba Aina ya Rebook Shoe Gallery ni i kampuni mbili tofauti amabazo zimeshrikiana na kutoa collection moja nzuri, ambapo ilimbid Danny ambaye ndiye mmiliki wa Shoe Gallery awafuate Reebok na kuongea nao juu ya wazo lake ....msikiliza hapa chini
Tags:
Fashion