Mr. Nice Achukuliwa na Kampuni ya VAD Film Production ya Denmark Kufanya Filamu

Msanii wa muziki nchini Lucas Mkenda aka Mr. Nice amepata shavu jipya la kufanya filamu na kampuni ya VAD Film Production yenye makazi yake nchini Denmark.

VAD Film Production iliyomchukuwa Mr Nice kwaajili ya kufanya filamu ni kampuni ya kiafrika maarufu kwa ajili ya waafrika wanaoishi nchini Denmark wakiwa wamejikita katika utengenezaji wa filamu kwa kutumia lugha ya Kiswahili.

Mr Nice akifanyiwa mahojiano.

Mr Nice akiwa nchini Denmark


Previous Post Next Post