Picha: Hemedy na mastaa wa Zambia Katika utengezaji wa filamu ‘Tangled Mess’ [ Behind the scenes ]

Hemedy Suleiman aka PHD ameanza kutengeneza filamu iitwayo ‘Tangled Mess’ na mastaa wa Zambia akiwemo Cassie Kabwita, mshiriki wa BBA 8, Sulu Banda,mwanamuziki mkongwe wa Zambia Moureen Lilanda na Dj mkongwe wa Zambia DJ Yahya Kiba kwaajili ya kumuenzi Kanumba. Hizi ni oicha za utengenezaji wa filamu hiyo.


 Hemedy akisoma script









Previous Post Next Post