Ja Rule akanusha ajamwacha mke wake sababu ya kupata ‘dume’ gerezani

Ja Rule amelazimika kuzikanusha tetesi za kijinga zilizoenea kuwa amemwacha mke wake baada ya kupata ‘mwanaume’ alipokuwa gerezani.



Tetesi hizo zilianzishwa na mke wake Aisha Atkins, baada ya vyanzo kumnukuu alipokuwa akiongea kwenye show MTV, Married Life After Prison.

‘We spent ten-plus years building our marriage but it only took him two to decide he’d rather suck a d*** than be with his wife,’ alinukuliwa.

Rapper huyo wa Thug Lovin’ aliachiwa kutoka jela mapema mwaka huu baada ya kukaa jela kwa miaka miwili lakini anadaiwa hakukaa tena nyumbani.

‘He returned home alright – to get his s*** and leave,’ Atkins alisema na kudai kuwa aligundua kuwa mume wake wa miaka 12 alimwacha na kwenda kuishi na mwanaume waliyekuwa naye jela.

Kupitia Twitter, Ja Rule ambaye jina lake halisi ni Jeffrey Atkins alizitupitilia mbali tetesi hizo kwa kuandika:
‘OK I guess I have to address the idiots these rumors are FALSE LIES made up by some non mf factor website CLOWNS lmao…’
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA