FASHION: RAY BANS WAMETOA MIWANI MPYA , ' WAYFARER LEATHER' ZIMEDIZAINIWA KWA MATERIAL YA NGOZI 'ZICHEKI HAPA'

Kampuni inayojishugulisha na utengezaji wa miwani za Ray Bans wametoa miwani nyingine mpya katika kipindi hiki cha sikukuu, miwani hizi zimetengenezwa katika ufanisi wa khali ya juu kwan atakii chake kina fanana na rangi na mnzunguko wa ngozi ambao umezunguka miwani nzima, 
Kazi ni kwako kwani rangi ziko tofauti  na bei yake ni $300
kwa kila Moja'







Black









Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA