BREAKING NEWS: STAR WA FAST AND FURIOUS PAUL WALKER APATA AJALI YA GARI NA KUFARIKI DUNIA

Habari hii imethibitishwa na #TeamPW Kuwa Paul Walker amefariki dunia kwa ajali ya agari amabapo alikuwa katika safari kuelekea katika organization yake aliyoianzisha ya Reach Out Worldwide.

Ajali hiyo imetokea jana mchana uko 
Santa Clarita, Calif. -America wakati paul walker akiwa na dereva aliyekuwa akiendesha gari iyo ambapo inasemakana gari iyo ilipata ajali iyo na kuwaka moto, Tarifa iliyotolewa na polisi imesema abiria wote wawili waliokuwa kwenye gari hiyo walipoteza maisha 

Kupitia akaunti yake ya twitter walitweet hivi...




Utambulisho wake Mfupi

"The actor was born in Glendale, Calif., in 1973, and appeared on TV in Who's the Boss andThe Young and the Restless as a teen before breaking through to films such as 1999s Varsity Blues and She's All That. "

Hizi ni Picha Baadhi ya Staa Huyo wa Fast and Furious Paul Walker





Picha Inayoonyesha ajali ya Gari aliyopata Paul Walker na Kuwaka Moto














2 Chainz, Wiz Khalifa - We Own It (Fast & Furious)


Previous Post Next Post