VIDEO: RICK ROSS ASEMA ANATENA BEEF NA 50 CENT KWANI BEEF YAO ILIKUWA NI UJINGA NA WALA AINA FAIDA

Akiongea kwenye kipindi cha Power 105.1, The Breakfast Club this wiki hii Ricky Rozay alisema ugomvi wao haukuwa na faida ya maina kwenye maisha yao ya kila siku na amesema ulikuwa ni ujinga.


Kiongozi wa Maybach Music Group, Rick Ross ameiweka pembeni beef yake ya muda mrefu na 50 Cent iliyodumu kwa miaka minne.

Beef kati ya 50 Cent na Rick Ross ilianza mwaka 2009 baada ya rappers hao kukutana kwenye tuzo BET Awards na kuanza kudisiana kwenye nyimbo.


Tazama Video Hapa Chini






Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa