VIDEO : ATIMAYE DUWA YA DIVA WA CLOUDS FM YATIMIA, YULE MWANAUME HANDSOME BOY ATANGAZA KUWA YUKO SINGO NA ANAHITAJI GIRLFRIEND

Hivi karibuni Mtangazaji Kutoka Clouds Fm, Anayefahamika kama Lovness Diva Alipost Picha Instagram na Kuandika kuwa yuko tayari kubadili ata Dini ili Awezi kuolewa na Handsome Boy aliyefukuzwa Saudi Arabia kutokana na kuwa handsome kupitiliza? Sasa Handsome Boy Ametangaza kuwa yuko Singo na Anahitaji kuwa na Mchumba.....

Mwanaume huyo Omar Borkan Al Gala ambaye uhandsome wake umemfanya amepata umaarufu sehemu mbalimbali duniani, alifanyiwa interview na kudai kuwa hakufukuzwa Saudi kutokana na kuwa ‘too handsome’

“Really, I was walking around, I ended up in the wrong place at the wrong time” alisema Al Gala ambaye ni muigizaji, na mpiga picha kutoka Dubai.

AL gala mwenye miaka 25 ameonekana kuwa kivutio cha kinadada wengi hata hapa nyumbani Tanzania, ambapo wiki hii mtangazaji wa Clouds FM Diva Loveness Love alidiriki kusema yuko tayari kubadili dini ili aolewe na huyu jamaa hata kama ana wake wengi!

“Hata dini ntabadili wallah… Anioe tu huyu kaka .. Hata mke wa ngapi poa @omarborkan isn’t he just a cute man on earth guys?” Aliandika Diva Instagram baada ya kupost picha ya Omar.

Well, good news kwa Diva mwenye ndoto za kummiliki kijana huyu mtanashati ni kuwa, alitangaza kuwa yuko single na anatafuta girlfriend (na hakusema deadline ya applications-LOL).

“Yeah I’m single. I am looking for a good princess that actually could keep up with me” alisema Al Gala wakati wa mahojiano na mwandishi wa habari wa Philippines.

Mtazame Hapa Chini Kwenye Video HII Akifanyiwa Mahojiano

Previous Post Next Post