PICHA: P SQUARE NDANI YA BONGO TAYARI KWA MAKAMUZI SIKU YA KESHO

Kundi la muziki kutoka Nigeria la P Square Tayali limeshawasili Jijini Dar es Salaam Tyari kwa Makamuzi ya Siku ya Kesho tarehe 23,kama wewe ni mpenzi wa P Square Unaalikwa na Vodacom Kwenda pALE Leaders Club Kuburudika  na Kushuhudia Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam Wakicheza Alingo, Personally na Nyinginezo nyingi kwa Kiingilio Cha  tsh 3000 tu..!



TIKETI

Previous Post Next Post