RAMA DEE NA MKEWE WATARAJIA KUPATA MTOTO WA PILI BAADA YA ABIGAL

Mkali wa RnB nchini, Rame Dee ambaye kwa sasa anaishi na familia yake nchini Australia, ametangaza kuwa, mke wake, ni mjamzito na wanategema kupata mtoto wa pili.


Rama Dee na mke wakeMuimbaji huyo wa ‘Sio Waoaji’ ametoa tangazo hilo kwenye Twitter:








Previous Post Next Post