H.BABA KUFANYA COLLABO NA FALL IPUPA MWEZI NOVEMBER

Baada ya kuizungumzia kwa muda collobo yake na staa wa DRC, Fally Ipupa, hatimaye safari ya H.Baba kwenda nchini humo kuifanya imewadia.


Staa huyo ambaye kwa sasa ni baba, mwezi ujao atasafiri kwenda nchini Congo kufanya collabo na Fally Ipupa.

“Safari ni mwezi wa 11 sababu (Fally Ipupa) alikuwa tour kwahiyo natakiwa niende. Namshukuru Mungu kunikubalia kwake, na mimi pia nimejikusanya sababu nadunduliza, sina mtu wa kunisaidia, ningepata mtu wa kunisaidia ingekuwa ni vizuri zaidi. Lakini namshukuru Mungu najikongoja hivyo hivyo, nitafika salama kwa uwezo wa Mungu,” alisema H.Baba.


Previous Post Next Post