PICHA: PREZOO APATA MCHUMBA MPYA, NI MBONGO AISHIYE MAREKANI ..PESA KWAKE SIO TATIZO

Kwa muda mrefu drama kuhusu warembo wanaomzunguka Rapcellency Prezzo zimepungua kwa kiasi kikubwa. Bila shaka unakumbuka kipindi kile penzi lake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Diva lilivyokorea kiasi cha mrembo huyo kujichora tattoo yenye jina la rapper huyo.



Prezzo akiwa na mpenzi wake mpya

Uhusiano huo ukazusha beef kati yake na aliyekuwa mmoja wa wawakilishi wa Big Brother Africa mwaka huu, Huddah Monroe lililopelekea vita vya maneno kwenye Twitter kati ya warembo hao. Na sasa Prezzo amepata mrembo mpya. Anaitwa Starlisha Tillya aka Chagga Barbie. Ni mchaga na anaishi nchini Marekani. Ni binamu yake yake na marehemu Vivian Tillya.




Kwenye profile yake ya Instagram, mrembo huyo ameandika: Am His First Lady My Life My Choices…My Ways, My Mistakes My Lessons Not Ur Business!!!Team #Rapcellecy #254 #LimitedEditionChic #FirstLady #Prestar #CatMummy







Picha zaidi za mrembo huyo



Picha zaidi za mrembo huyo












Picha zaidi za mrembo huyo




















Previous Post Next Post