PICH, AUDIO : BOB JUNIOR FT VANESSA MDEE - BASHASHA

Picha hapo chini ni Bob Junior na Vanesa Mdee Wakiwa studio Pindi wanarekodi wimbo wa "BASHASHA" Ambao Umekuwa ukifanya vizuri katika media nyingi na ata Idadi ya Fans Wanaodownload Kuwa Kubwa Hii ni Ishara nzuri kwa wanamuziki hawa wawili mabao wamefanya collabo moja ya kufa mtu...big up kwa Bob Junior na Vanessa Mdee Kwa "BASHASHA" Kwani Tumegundua Vanessa Mdee Ana Kitu Kingine tofauti.






HII NI COVER YA WIMBO HUO WA BASHASHA

Kama aukupata Kuusikia au Kuwa Nao, Uko Hapa Waweza Kuudownload 



Previous Post Next Post