NEW MUSIC: SUMA BIANTO FT HAWA - I'M COMING

NDUGU wadau woote namtambulisha kwenu msanii mpya wa kizazi kipya anaitwa ''Suma bianto'' ni mdogo wa PASHA kutoka mtwara.alishawahi kufanya wimbo kwa kuwashirikisha PASHA na NYASI lakini safari hii ametoa wimbo wake mwingine kwa kumshirikisha HAWA wimbo unaitwa I.M COMMING Chini ya studio za Apex. toa sapoti yako ili kufanikisha safari ya muziki wa ''Suma Bianto''.


 AUDIO HII HAPA CHINI

Previous Post Next Post

Popular Items