Msanii Hard Mad ameachia wimbo Aliouita ‘Naishi Ghetto’ akiwa amejivika husika ya Yahaya aliyeibwa na Lady Jay Dee. Wimbo huu umetengenezwa na mdundo ragga ukiwa na Melody ya komando ya Jide na wimbo umetayarishwa na producer wa studio za Over Classic zilizoko Jijini Mwanza .
Sikiliza Wimbo Huu Hapa Chini....