HEMEDY PHD" KUFUNGA MWAKA KWA KUACHIA VIDEO MPYA ITAKAYOITWA " ONE AND ONLY"

Hemedy PHD amesema anatarajia kufunga mwaka kwa kuachia video mpya ya wimbo wake One n Only iliyotengenezwa na Sei Records.



Hemedy amesema kwenye video hiyo itakayotoka December amemshirikisha Bella Combo.

“Thank god for the love and blessingz…its been a long run for the year 2013..still alive to this moment and stil presenting..im excited to release my new video ‘ one&only ‘ in this coming december…#love”aliandika PHD kwenye Instagram

Hivi karibuni tu Hemedy aliachia video ya wimbo wake mwingine ‘Rest of my life’ ambayo alimshirikisha Mr Blue.
Previous Post Next Post

Popular Items

ZANZIBAR WAANZA KUTUMIA DIGITALI