Star wa BongoFlavour Diamond Plutnumz, Hivi karibuni alitangaza Ajira kwa Vijana Wenzake ambao wanavipaji katika Kushoot Video,Kupiga Picha na Kuedit Video..., Picha hizi hapa chini zinaonyesha baadhi ya vijana waliofika katika usaili huo kwa ajili ya kufanyiwa usahili
Usaili kwa vitendo ndiyo kitu tulichokizingatia zaidi......
Tukiangalia kazi za mmoja ya watu tuliowafanyia usaili
Kupitia Blog yake ya wasafi Diamond Plutnumz alishare picha hizi na kuandika maneno haya...
"jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview
baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa
mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa
juzi,mwitikio wa watu ulikuwa mkubwa,watu waliotuma
email zao pamoja simu,kiasi ilituwia vigumu
kuwataka wote waje kwenye interview,ilitubidi
tuchague baadhi ya watu ambao tulihisi wanaweza
kukidhi sifa tulizozihitaji ingawa nao pia tulipata
changamoto ya wengi wao kuja pasipo kuzingatia maelekezo
na maagizo ya tangazo lilivyotaka,hivyo jana
nikishilikiana na wataalamu wa hizo sekta tulisaili
na mwisho wa siku tutachukua wale wenye viwango
tunavyovihitaji na kuungana na team ya WCB-WASAFI,.....
Ahsanteni sana."