BABA MZAZI WA BOB JUNIOR ALA SHAVU KWENYE LABEL YA WARNER MUSIC FINLAND



Baba yake anaitwa Rummy Nanji aka Mr. B na ni muimbaji mkuu wa bendi maarufu ya nchini Finland, Mighty 44.


Bahati mbaya Watanzania wengine hawafahamu kuwa baba yake mzazi na rais wa Masharobaro, Bob Junior ni mwanamuziki pia na sio mdogo, ni supastaa nchini Finland.




hIVI KARIBUNI BENDI HIYO IMEPATA SHAVU LA KUSAINI MKATABA NA WARNER MUSIC GROUP FINLAND



482647_10151434149844962_1558856532_n


Mighty44




Kupitia Facebook, Bob Junior alimpongeza baba yake kwa kuandika:

Hongera sana my dad & all crew ya mighty 44 band…u did it guyz…das wats up hiyo ni big deal Warner Music?????????? ohhh…. am proud of u baba..in shaa allah kila la kheri wakilisha Tanzania, umenipa mzuka sana nami nije fanya makubwa katika muziki niwe zaidi yako…I love u dad…Rummy R. Nanji.









Well wabongo si unajua tena mtu akifanya kitu kizuri kwa nje tunakuwa kama tunampotezea hivi. Ni mwimbaji baba yangu miaka mingi tu sana ni miongoni kwa top artists in Finland, ameiambia Bongo61.
Previous Post Next Post