DEMU MPYA WA PREZOO AMTUSI HUDDAH MONROE NA KUUMUITA "BWABWA LADY"


Baada ya Huddah Monroe kuonekana kutokupenda Uhusiano wa Prezzo na Galfriend wake kutoka Tanzania anayejulikana kama Chaga Baby ama Starlisha...na kuanza kumtukana Prezzo kuwa ni Mbwa koko ...Starlisha aka Chaga Birbie yamemshinda na kuamua kumjibu Huddah Monroe kupitia Instragram




Previous Post Next Post