DARASSA AACHIA MIX TAPE YAKE MPYA VOLUME 1




Msanii mahiri kwenye miondoko ya rap nchini, Darasa amefanikiwa kukamilisha utengenezaji wa Mix Tape yake mpya iendayo kwa jina la Dream Big, mix tape hiyo imesheheni nyimbo 19 kali na pia ndani ya mix tape hiyo utapata nafasi ya kuwasikia wasanii wengine ambao amewshirikisha katika nyimbo tofauti tofauti.



Mix tape imefanyikia chini ya Classic Music na Studio za AM Records pamoja na Revenge Production. Mikono ya maproducer waliohusika ndani ya mix tape hii ya Dream Big ni Maneck, Gard B, Double na Juma Kazi.

Via: GongaMx
Previous Post Next Post