WEMA SEPETU APOST PICHA AKIWA AMEVAA VIATU VYA DIAMOND


Takribani week sasa habari kubwa kuhusu mastaa Bongo ni story ya Diamond na Wema ,kurudiana
ambapo habari hizo bado ni tata kutokana na wahusika wote kutosema chochote kuhusu mahusiano yao.
ingawa kuna viashiria vingi vinavyozidisha utata wa mahusiano ya wawili hawa waliowah kuwa
wapenzi zamani.






 


 SEE VIDEO HERE:




Wakati wakiendelea kutuchanganya ,kama unakumbuka tuliweka video ya diamond akikatiza ndani ya mitaa ya China akiwa amevaa nguo nyeusi na viatu vyeupe
Wema nae alipost picha Ikionyesha amevaa viatu kama alivyoonekana amevaa Diamond,utata siyo??
tazama picha na video kisha u judge mwenyewe.
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA