Rose Ndauka Na Mpenzi Wake wategemea kupata mtoto ‘soon’

Rose Ndauka amabaye ni msanii wa Bongo Movies na Mpenzi wake ambaye ni Msanii wa kundi la TNG Squad, Malick Bandawe aka ChiwaMan amethibitisha kuwa yeye na mchumba wake, muigizaji wa filamu, Rose Ndauka wanategemea kupata mtoto hivi karibuni.


ChiwaMan na mpenzi wake Rose Ndauka

“Mimi nipo katika  relationship na tayari nimeshajiengage kwenye relationship na I am expecting a kid very soon,” ChiwaMan aliiambia Kali za Bomba ya Bomba FM jana.


Katika hatua nyingine msanii huyo alisema kundi la TNG kwa sasa linaundwa na watu wawili ambao ni yeye ChiwaMan na Latino Mafia. Baada ya kuachia wimbo wao Crazy Man, kwa sasa lina nyimbo mbili kibindoni ambazo ni Kwata na My Sweet Girl.
Previous Post Next Post